News

Sasa dunia imeanza sura mpya kabisa katika uhusiano kati ya Marekani na Iran uhusiano ambao unaweza kuwa bora zaidi au mbaya ...
Staa wa muziki wa Singeli Bongo, Dulla Makabila amewahi kuachia wimbo 'Furahi' kwa ajili ya aliyekuwa mke wake, Zaiylissa.
Katika historia ya Afrika, vifo vya viongozi wakuu vinavyotokea wakiwa nje za nchi zao vimekuwa chanzo cha mzozo wa kisiasa, ...
Akizungumza wakati wa hafla ya ugawaji wa vifaa saidizi kwa watu wenye ulemavu Juni 25, 2025 iliyofanyika katika Chuo cha Marekebisho kwa Watu Wenye Ulemavu cha Sabasaba mkoani Singida, ...
Bunge limeridhia azimio la mkataba wa uanzishwaji wa Shirika la Fedha la Afrika (AFC) wa mwaka 2007 ambao unatoa kinga dhidi ...
Wakati Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likimaliza muda wake kesho Ijumaa Juni 27, 2025, wadau wa siasa wamelichambua Bunge hilo na kutoa mapendekezo ya namna ya kuimarisha ...
Gwiji wa Manchester United, Wayne Rooney, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu namna alivyosikitishwa na kuondoka kwa ...
Klabu ya Arsenal imekamilisha makubaliano ya kumsajili nahodha wa Brentford na kiungo mkabaji wa kimataifa wa Denmark, ...
Serikali ya Tanzania imefuta ndoto ya kuendeleza mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam, wenye ...
Dar es Salaam. Matei Anamboka ambaye ni baba mdogo wa aliyekuwa mwigizaji wa filamu nchini, Radainus Vitalis 'Kitundu', ...
Dar es Salaam. Matei Anamboka ambaye ni baba mdogo wa aliyekuwa mwigizaji wa filamu nchini, Radainus Vitalis 'Kitundu', amesema kilichoondoa uhai wa kijana wao ni maradhi ya kifua ...
Kumekuwepo na mabadiliko makubwa ya kidijitali nchini Tanzania — na huu si uvumi tu, bali ni harakati ya kweli. SportPesa ...