MWANAMKE mmoja mkazi wa Jimbo la Harari nchini Ethiopia amejifungua watoto watano kwa mara moja baada ya kuhangaika kutafuta mtoto kwa miaka 12, jambo lililoonekana kuwa adimu zaidi nchini humo. Mwana ...
Kati ya kesi 197 za makosa mbalimbali yaliyokamatwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani katika kipindi cha mwezi Machi hadi April, 130 watuhumiwa wake wametiwa hatiani na kuhukumiwa. Hukumu za vifungo zi ...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa zamani wa Arusha, Godbless Lema, ameitaka serikali kuondoa kodi kwenye mafuta ya dizeli, ili yauzwe kwa bei ya chini ku ...
Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) imezindua rasmi ulipaji fidia kwa wananchi wanaopisha mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa 220kV kutoka Masasi hadi Mahumbika. Akizungumza Mei ...
Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Mohamed Nyundo, ameipongeza TANESCO kwa utayari wake wa kuhakikisha umeme unafika katika mradi wa ujenzi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa, unaotarajiwa kuongeza fursa za kiuchumi na ...
Baadhi ya barabara katika Halmashauri ya Manispaa ya Geita zimetajwa kuwa kikwazo kikubwa katika utoaji wa huduma muhimu za maendeleo kutokana na kuharibika kwa muda mrefu, hali inayosababisha ...
VYAMA vya upinzani nchini Burundi ikiwemo CNL, UPRONA, CODEBU, DCP, na FRODEBU vimeonyesha nia ya kususia uchaguzi wa urais vikitaka kufanyika kwa mazungumzo ya kitaifa kwanza kama sharti la uchaguzi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results