"Vishoka wengi wataibuka, usivuke Tabata" Simba yatoa tamko Dabi Ya Kariakoo kima cha chini Sh15,000
MABAO mawili ya Ligi Kuu Bara aliyofunga kiungo mshambuliaji nyota wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' juzi dhidi Mtibwa ...
WAKATI mashabiki wa soka wa Ufaransa wakitathmini kikosi cha timu ya taifa lao (The Blues), nahodha wa taifa hilo, Kylian ...
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), imesema mchezaji yeyote wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) atakayecheza mashindano ya ...
KOCHA wa Pamba Jiji, Francis Baraza, ameonyesha kuumizwa na matokeo ya mchezo dhidi ya Azam baada ya kikosi chake kupoteza umakini katika dakika tatu za mwisho zilizokwenda kuamua mshindi.
STRAIKA wa Real Madrid, Kylian Mbappe na mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or Ousmane Dembele wataongoza kikosi cha timu ya taifa ...
Mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji, ametajwa katika orodha ya TIME100 Philanthropy 2026 inayotolewa na jarida ...
KOCHA Mkuu wa KenGold, Jumanne Challe amesema ni ngumu kwa timu hiyo kushika nafasi nne za juu zitakazoiwezesha kucheza mechi ...
Uwanja mpya wa Yanga unatarajiwa kukamilika ndani ya kipindi cha miezi 18 hadi 24, baada ya kutangazwa rasmi kwa kuanza kwa ...
KOCHA Mkuu wa Muembe Makumbi, Sheha Khamis, amesema ushindani wa Ligi Kuu Zanzibar unazidi kupamba moto kutokana na kila ...
Ndoto ya mshambuliaji Luis Suarez kucheza kwa mara ya tano Kombe la Dunia akiwa na Uruguay ipo shakani. Kwa mujibu wa ...
Ofisa Habari wa Yanga Ally Kamwe amerusha jiwe gizani akisema mfadhili wa klabu hiyo Ghalib Said Mohammed 'GSM' hana tamaa ...
KOCHA wa makipa wa timu ya Polisi, Ali Masoud, amesema kikosi hicho kipo tayari kwa michezo iliyosalia Ligi Kuu Zanzibar ili ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results